Social Icons

Monday 30 January 2012

AFOAS BLOGU: RELIGIUOS/DINI

AFOAS BLOGU: RELIGIUOS/DINI
Ni nini misimamo yetu katika dini je sisi ni waasi wa imani zetu, hapana ninachoamini mimi ni tofauti na wanadini wengine na ninamaana katika hili, jambo hili linawagusa sana wazazi na walezi wanapokumbwa na changamoto ya watoto wao kubadili dini zao eidha kwa kufuata mafundisho ya dini fulani au kwa sababu binafsi kwa mfano mtoto wa kiume/kike anapoamua kuama dini yake na kwenda dini nyingine kwasababu ya mapenzi au kwa sababu ya matatizo kama magonjwa. sisi kama wazazi na walezi wa watoto hawa inatupasa tufanye yafuatayo
:

1. Tuangalie sababu ya mtoto kuama dini

2. Tuangalie umri wake, je amefikia umri wa kuamua yale anayoona yanafaa kwake ni pamoja na kuchagua wapi kwa kuabudu na kwa nani.

Wazazi daima tunapenda kutumia ubabe wa kuamua yoyote yale yawe hata kama yale wanayotenda ni mazuri namna gani:

Ifahamike kwamba kila binadamu ana haki ya kuabudu kokote anakoamini kwa mfano:

1. islamic/uislam


2.christianity/ukristu


3.budha


4.jehova's witness nk

No comments:

LATEST NEWS

Share

Widgets

 

Total Pageviews