Social Icons

Tuesday 17 April 2012

BAYERN MUNCHEN YAIPA DOZI REAL MADRID 2 - 1


Mesut Özil (Kushoto) Wa Real Madrid akishangilia na Mchezaji mwenzake Christian Ronaldo baada ya kuipatia timu yake ya Real Madrid Goli katika Raundi ya Kwanza ya Nusu Fainali ya UEFA champion
Mario Gomez akiipatia timu yake ya Bayern Munchen goli katika raundi ya kwanza ya nusu fainali ya UEFA champion iliyofanyika usiku wa kuamkia leo

Frank Ribery wa Bayern Akishangilia Goli lake la kwanza dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya UEFA champion uliofanyika usiku wa kuamkia leo na kuibuka kidedea kwa magoli 2 dhidi ya 1
Kocha wa Bayern Munchen JUPP HERNCKES akishout katika mechi dhidi ya timu yake na Real Madrid katika raundi ya kwanza ya nusu fainali ya UEFA champion usiku wa kuamkia leo ambapo bayern iliibuka mshindi kwa magoli 2 dhidi ya 1

Mario Gomez wa Bayern Munchen akishangilia goli na wachezaji wenzake katika raundi ya kwanza ya nusu fainali ya UEFA champion dhidi ya Real Madrid mchezo uliofanyika usiku wakuamkia leo na bayern kuibuka kidedea kwa kushinda magoli 2 dhidi ya Real Madrid

Cristiano Ronaldo wa Real Madrid CF akiwa mnyonge baada ya timu yake kufungwa magoli 2 kwa 1 dhidi ya FC Bayern München katika raundi ya kwanza ya nusu fainali ya UEFA Champions

Kocha Wa Real Madrid Jose Mourinho Akishanga kwa kilichotokea baada ya timu yake kufungwa goli 2 kwa 1 dhidi ya Bayern Munchen katika raundi ya kwanza ya nusu fainali ya UEFA champion
Mario Gomez alipoifungia Timu yake ya Bayern Munchen goli la pili dhidi ya Real Madrid katika raundi ya Kwanza ya Nusu Fainali ya UEFA champion usiku wa kuamkia leo.Bayern yaibuka kidedea kwa magoli 2 dhidi ya Real Madrid

No comments:

LATEST NEWS

Share

Widgets

 

Total Pageviews