Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 23,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 23,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Msingi
ya Eckernforde ya Tanga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 23,
2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment