Social Icons

Tuesday 13 November 2012

JAY-Z KUPIGA BONGE LA SHOW LA MWAKA

 
Nini kikubwa zaidi ya hiki mwisho wa mwaka??!! The Brooklyn Rapper Jay-Z kuchapa bonge la show na wasanii wengine wanaojulikana kama COLD PLAY mwsiho wa mwaka huu. Jay-Z ametangaza yeye mwenyewe kupitia website yake ya Life + Times kwamba atachapa shows mbili jijini New York City at the Barclays Center. Katika shows hizo, ya kwanza itafanyika tarehe 30 December na ya pili itapigwa tarehe 31 december pia.

Jigga Man amekuwa rafiki wa karibu na kiongozi wa kundi hilo anayefahamika kama Chris Martin kwa muda mrefu sasa, so hili halijawa jambo la kushtusha sana kufanya kazi pamoja.

No comments:

LATEST NEWS

Share

Widgets

 

Total Pageviews