Mkurugenzi wa Shirika la kazi nchini Tanzania
(ILO) Bw. Alexio Musindo akitoa hotuba yake siku ya kufunga maonyesho ya
wajasiria mali MOWE 2012 yaliyokuwa yakifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi. Flossie
Gomile Chidyaonga akitoa hotuba yake kwa wajasiria mali wa MOWE
2012.
Msichana Mjasiriamali akipokea cheti cha ushiriki
wa MOWE 2012 toka kwa Balozi wa Malawi Bi. Flossie Gomile Chidyaonga (kushoto).
Katikati ni Mwenyekiti wa Taasisi ya MOWE Bi. Elihaika
Mrema.
Mkurugenzi wa ILO nchini Bw. Alexio Musindo
(kulia) na Bi. Teddy Rucho wakipokea cheti cha ushiriki toka kwa balozi wa
Malawi katika sherehe za ufungaji wa maonyesho ya wajasiriamali MOWE
2012.
Balozi wa Malawi Tanzania Bi. Flossie Gomile
Chidyaonga (kushoto), Mkurugenzi wa ILO nchini Bw. Alexio Musindo sambamba na
Mwenyekiti wa MOWE Bi. Elihaika Mrema (katikati) wakiangalia bidhaa zitokanazo
na Mti wa Mbuyu wakati wa sherehe za ufungaji wa maonyesho ya Wanawake
Wajasiriamali MOWE 2012 yaliyomalizika hivi karibuni katika viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar.
Balozi akitembea banda la ILO katika maonyesho ya
MOWE 2012.
Balozi wa Malawi akipata maelezo toka kwa team ya
ILO walioandaa maonyesho ya MOWE kwa kushirikiana na Taasisi ya
WAMA.
Balozi wa Malawi na Mkurugenzi wa ILO nchini
wakinunua mifuko maalumu ya kuhifazia Laptops na iPad iliyotengenezwa kwa
ubunifu mkubwa kwa kutumia malighafi ya Tanzania Kitenge toka kwa Mwanamke
Mjasiria mali wa MOWE 2012 katika maonyesho hayo.
Bwana Pius Mikongoti wa GS1 akitoa Mada kuhusu
Barcode kwa washiriki wa MOWE 2012.
Picha ya Pamoja Kamati ya MOWE na wageni rasmi
siku ya kufunga maenyesho ya MOWE 2012.
No comments:
Post a Comment