Social Icons

Tuesday 13 November 2012

RAISI KIKWETE ATETEA VYEMA KITI CHA UWENYEKITI WA CCM TAIFA HADI 2017

 
Rais Jakaya Kikwete amechaguliwa na kushinda kwa kishindo uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa kwa kupata kura 2395.kati ya 2397 zilizopigwa hii leo. Kwa matokeo hayo Ndugu Jakaya Kikwete ameitetea vyema nafasi yake hiyo hadi mwaka 2017. Huku kura za hapana zikiwa 2. Sawa na asilimia 99.92.

Aidha wagombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti ambazo kwa upande wa Bara ilikuwa ikigombewa na Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Philip Mangula na amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kwa kura 2397, huku nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar ameshinda Raius wa Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein kwa kupata kura zote zilizopigwa 2397. Ushindi wa Shein na Mangula kushinda kwa kura za Ndio kwa Asilimia 100

No comments:

LATEST NEWS

Share

Widgets

 

Total Pageviews