Jana kupitia
mitandao ya jamii, kulikua na mzunguko wa picha hii kila kona ya mitandao hiyo,
huku ikiwaacha mashabiki kujiuliza maswali mengi na wengine kudai kuwa
inawezekana kuna watu tu wameamua ku edit picha kwa madhumuni ya kuwachafu
wasanii hawao ambae ni Lina kushoto, Recho kulia na Diamond.
kupitia simu
tumefanikiwa kumpata Recho ambae yupo mkoani Iringa kwa ajili ya show ya leo na
haya ndio aliyoyasema.
"hiyo picha ni hali
tu ya kawaida, na wala hatukua peke yetu tulikuwa na wasanii wenzetu na
presenter wengine tulikuwa tunaogelea,na tulikua tunapiga picha ndio, so ni
bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile alikua anajiweka sawa tu sema mpiga
picha ndo aliwahi kupiga, bahati mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio
ikafika huko.
tulikua sehem to
have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe sijakipenda kwasababu si
tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila mwingine anachukua na kuanza
kusambaza sio vizuri"
msikilize hapa
chini
No comments:
Post a Comment