Social Icons

Thursday 15 March 2012

BREAKING NEWS.....VINEGA KORTINI

.Kundi la ANTI-VIRUS watamka wazi kuhusu kesi AMBAPO KUSAGA ANAWASHITAKI MAPACHA KWENYE KESI YA MADAI AMBAYO KILA MMOJA WETU ANASHANGAA KWANI WAO NDIO WAKUSHTAKIWA.  tarehe 21 mwezi 3 mwaka 2012,,saa 7 mchana pale mahakama ya hakimu mkazi kisutu,juu ya baadhi ya vinega YAANI MAPACHA!AMBAO WAMESHTAKIWA NA MMILIKI WA KITUO HICHO CHA CLOUS FM,ambapo vinega wa ANT-VIRUS walikumbushana kukutana "vinega wote mnaombwa kwenda kushuhudia na kusikiliza madai ya WAFU FM!SO ukiwa kama unapenda kusikiliza jinsi vinega wanavyotuhumiwa" hiyo ni kauli yao kwa pamoja.pia wameongeza ya kwamba kwenda kuisikiliza kesi yao ni bure "ni bure usisite na ni haki yako pia kusikiliza kinachoendelea".pia wao wanadai washangaa suala Kusaga kuwashitaki Mapacha mmoja wao ameandika ya kwamba wanauzunika "ambapo
kusaga anawashitaki mapacha kwenye kesi ya madai ambayo kila mmoja wetu anashangaa kwani wao ndio wakushtakiwa.......kifupi ajiandae na mixtape vol 3 soon inatoka na hiyo tarehe 21 YA MAHAKAMANI NDIO WATAHUSUDU HIZI HARAKATI,HAKUNA MTU WA KUMUOGOPA.....HAKI INADAIWA NA IKISHINDIKANA INAPIGANIWA......TUNACHOFANYA HAPA NI KUIPIGANIA HAKI WAMEUTANGAZIA UMMA WA WATANZANIA KUWA VITA IMEISHA NA KURIPOTI KWA MBWEMBWE NYINGI TUKIO BADALA YA HABARI YA MSINGI.....SASA VITA NDIO INAANZA NA WATAHUSUDU WAKAE TAYARI KUJISIKIA WAKIFANYA UFISADI NA MAKAMPUNI YOTE YA WAFANYABIASHARA(MAMENEJA MASOKO) NA WALIPOKUWA WAKIKUTANA KULE MOMBASA NA KWINGINEKO.........KIMENUKA!!!​!!! HATUOGOPI NA HATUJAWAHI KUOGOPA! MITAA INAELEWA KUWA WAFU FM. ANTI VIRUS WITH NO APOLOGY!!!!!!!" Hayo ni maneno yao na sisi maashaidi lakini pia tujiulize kuna nini na tuchukue hatua maana wengi wao tulijua vita imekwisha.

No comments:

LATEST NEWS

Share

Widgets

 

Total Pageviews